JE CORONA INAWEZA KUKUWEKA MBALI NA MPENZI WAKO?
Katika kipindi hiki kigumu cha mlipuko wa gonjwa baya la coved 19 mpenzi wako katoka safari ya mbali tena aliko tokea ndo sehemu yenye idadi ya wagonjwa wa corona ni wengi labda kakaa kizuizini kwa muda siku 14 na kuambiwa hana maambukizi ya corona kama unavyo jua mpenzi wako usipo muuona hata kwa siku moja huwa shida sababu huwezi kuvumilia kwa kuwa mnapenda sana na akifika yeye atataka aku kumbatie je? wewe utakubali ukukumbatie au uta kubali kwa sababu tu ila sio kutoka moyoni weka maoni yako chini hapa Zifuatazo ni dadlili za coved19 Kuwasili kwa virusi vya corona kumezua mkanganyiko kuhusu tofauti ya dalili za ugonjwa huo na zile za homa ya kawaida. Katika programu ya Google, maneno kama vile 'kupiga chafya' yameongeza dalili za virusi vya corona katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, sua