Featured Post

rayvanny akifanya yake mbele ya mastaa wa kubwa africa


  • cokestudio                
heshima kubwa kwa taifa kwani ana pepe rusha vizuri bendera na watanzania tunapata cha kujivunia kama taifa, na juhudi binafsi zina msogeza pale alipo lizombeblogg tuna heshimu kile unachokifanya na mungu akutangulie kwa kila jambo utaro fanya. sisi tupo bega kwa bega na wasanii wote hapa nnchini                       pia pongezi ziende kwa wcb kwa ujumla kwa ku sogeza mziki wetu kimataifa.

Comments