TUNA KUKALIBISHA KATIKA SIMULIZI HII IKIWA IMEANDA LIWA NA KUM,ILIKIWA NA LIZOMBE MEDIA
MWANDISHI NI HADI KHAN
KARIBU
SIO KOSA LANGU NI SIMULIZI YENYE VISA VYA KICHAWI:
Mnamo mwaka 1994 huko songea katika familia ya mzee jami kuli tokea sinto fahamu na kusababisha maafa makubwa sana;
Mzee jami ni baba wa toto wa nne mzaliwa na mkazi wa kijiji cha msindo wilayani namtumbo
Mnamo mwaka 1948 katika familia ya mfugaji mmoja walifanikiwa kupata mtoto wao wao wa tano
na kumpa jina la jami waziri luena kwa sababu alikuwa kidume,
Jami alikulia katika familia ya ufugaji wa ng`ombe na kuwa mchungaji kwa miaka kadhaa
Wakati kijana na damu ina chemka jami alipenda sana kucheza ngoma hivyo baba yake mzazi jami
akaona bora amtafutie mchumba jami kimya kimya siku moja jami aliitwa na shangazi yake mkomanae
jami alifunga safari na kwenda mkomanae naona sio mbali sana na msindo sehemu aliyo kuwa akiishi jami:
ilikuwa jioni yake tu jami;alifanikiwa kufika salama kwa shangazi yake na kusikiliza wito.
SHANGAZI" -JAMI ukulite hinaha {yani jami umekuwa sasa}
JAMI ? kwa nini shangazi?
SHANGAZI ne kuvona ndehu ipitite {yani na kuona ndevu zimetoka }
jami ? acha utani ndevu anazo mbuzi bwana
SHANGAZI'' hinaha penapo ne na muhalo sasa [saizi na jambo ]
jami jambo gani shangazi mbona unani tisha
SHANGAZI'' usitishike, jambo lenyewe sisi tume kutafutia mwana mke tuna taka uoe saizi wewe mkubwa sawa jami
JAMI? lakini?
SHANGAZI lakini nini umeanza ubishi wako sindio we kila kitu kupinga tu kwali wamwene
JAMI? hapana shangazi sija kubishia ila nili taka kujua nani kanitafutia mwana mke na wa wapi?
SHANGAZI baba yako kaja kwangu kanieleza kakutafutia mwana mke kutoka hanga mwana steli kasema kasema nikueleze wiki ijayo ndoa.
jami? shangazi nilijua umeniitia jambo la maana sana kumbe upumbavu mtupu dah nimetembea kwenye jua kali kuja kwako shangazi yani bora ningeenda hata kucheza ngoma kulikoni kuja kusikiliza upuuzi huu nimesema sioi wala simtaki huyo mwana mke wenu........................
Itaendelea endelea tafadhali kuwa nasi kwa #kushare #comment #like
Comments
Post a Comment