Featured Post

JE CORONA NI GONJWA LA MUNGU AU CORONA GONJWA LA MWANA DAMU

                          coronavirusDunia iko njia panda watu wana teketea kwa sababu ya gonjwa zito linaro sababishwa na virus hatari walio pewa jina la coved 19 mwishoni mwa mwaka jana kulianza tetesi za gonjwa hatari huko china ingawa kulilipotiwa mara kadhaa na madaktari nguli wa china lakini serikali ikawa ina kanusha na kuwa toa watu hofu hasa raia wa china rakini maji yalipo wafika shingoni ikabidi waweke wazi kuwa kuna gonjwa baya sana limeibuka huko kwao tena waka weka mkazo kabisa kwamba gonjwa ni hatari sana hii ni baada ya kupuuzia taarifa ya doctar wakwanza kulipoti huo ugonjwa ambae alionekana kama mbovu wa akili kumbe alikuwa analo lengo nzuri sana la kuutetea ulimwengu, tizama leo dunia nzima leo tuna lia pengine angelisikilizwa mtoa taarifa wenda pengine tusinge fikia hapa tulipo leo eeh eeh mwenyezi mungu tuepushe sisi watanzania mfano wangu mimi kazi yangu inaitwa toka ule itakuwaje kesho nikiambiwa nisitoke nnje sawa tunayo serikali madhubuti lakini wengi wetu ni mafukala wa hali ya chini hapo ndipo napo muonea huruma mtani wangu dr jonh magufuri ataanzia wapi ataishia wapi, au ndo tutambebesha rawama zote yeye
 Nikiitizama #IITARY ya leo chozi lina nitoka maana ndugu zetu wa huko wanapoteza maisha kila sekunde inayoenda kwa mwenyezi mungu nacho kiona magari ya jeshi na masanduku ambayo ndani yake kuna miili ya waitaliano wengi
Mbaka nawaza hivi ndo mwisho wa dunia au nini hiki lakini naishia kulia tu na kuanza kuigopa kesho yangu maana leo kwetu tanzania lime zama salama 
Je hi hali kama itaendelea hivihivi wanadamu tutakimbilia wapi au ndo tutaanza kuogopana wenyewe kwa wenyewe maana imefikia hata ndugu yako akifa kwa gonjwa la corona huruhusiwi kwenda kumzika wala kuuona mwili wake hapo ndipo napo choka 
Itakuwaje baba mama na ndugu zangu pindi ndapo pata gonjwa hili na kupona wataweka imaani tena kwangu kama dhamani au ndo wataanza kuni nyanyapaa na fikilia lakini naishia kuguna tu hapo ndipo napo pata wazo la kuwa makini na maagizo ya viongozi wangu kwamba niepuke safari zisizo za ulazima niepuke mikusanyiko ni nawe maji kabla sija shika kitu tena kwa sabuni na maji yanayo tililika

JE CORONA NI GONJWA LA MUNGU AU GONJWA LA MWANADAMU?
Tunasoma mengi sana sana eti wengine wana andika corona ilitengenezwa na mchina kwa ajili ya watu wa hong kong ilikuwa tuliza wasiandamane tena kama walivyo kuwa wakiandamana kila siku mitaani
Lakini wengine walifika mbali sana wakawa wana sema eti hii ndo vita ya tatu ya dunia lakini ni vita ya kibailojia maana watu wana kufa bila kusikia nyuklia wala smj na kama kweli ndo vita ya tatu ya dunia ni kwa nini iwe hivi wana taka duniani abaki nani au ndo tume kula na kushiba na tumesahau kama kesho kuna kula tena nakupa hadithi ya mngoni mmoja yeye alilima sana alifanikiwa kupata mahindi mengi sana usiku moja alipo toka shamba alimwita mke wake na kumwambia pika ugali mkubwa sana maana yule kuku mkubwa nimesha mchinja tayali alipo kula na kushiba alimwomba mkewe ampe lita tano ya mafuta ya taa na kumwagia ghara lote la chakula na kuchoma moto alipo ulizwa akajibu tumeshiba hivyo njaa haito umma tena maskini wana sayansi wanako tupeleka huko,
Na vipi kuhusu marekani na maambukizo ya kiwango cha juu tena kwenye miji mikubwa
Je trump yuko sahihi kumlahumu mchini kwa kusema corona gonjwa la wachina
toa comment yako hapo chini.



tumalize kwa kukumbushana tufuate miiko na mipaka ya vyakula na nyama kama tulivyo lisishwa na mababu zetu wenda waliyaona haya asanteni


stop corona
italy
ufaransa
usa
china
iran
hispania
africa

Comments