Featured Post

Hivi unamjua wanda nara wewe?





  PARIS
     ITALY





       
 

 

  Hivi unamjua wanda nara
  wewe???Mrembo mmoja
  matata hivi,aliyewaingiza
  wanaume wawili kwenye bifu
  la maisha.Mrembo huyo,aliyezaliwa
  Desemba 10,1986 mvuto wake ni
  moto,umewafanya wanaume wawili
  mastaa wa soka,Maxi lopez na
  Mauro Icard,marafiki wazamani
  ambao kwa sasa hawatazamani
  usoni
     Wanda ni maarufu kwenye
  vyombo vya habari kutokana na
  shughuli,ambapo ni wakala
  wa soka,mtangazaji wa televisheni
 na mwanamitindo
   Shughuli hizo zimemwingizia
 Wanda mkwanja wa maana,akika
 diriwa kuwa na kipato cha Dola 5
 milioni.Ndio,anatajwa kuwa na
 pato la Dola milioni sio mchezo




  ANAPIGAJE PESA

  Shughuli kubwa ya mrembo
 Wanda ni mitindo.jambo
 hilo limekuwa likimwin-
 gizia pesa za maana
 kutokana na kupam
 bana majarida
 mbalimbali pamoja
 na kufanya matan
 gazo ya kampuni
 tofauti.mrembo
 huyu ni wakala wa soka
 na mteja wake mkuu ni
 mumewe,straika Mauro Icardi
 Kupitia staa huyo,Wanda ame-
 kuwa akinasa mikwanja mbalim-
 bali kama ada za kufanya biashara
 ya dili mpya za mchezaji wake.
 ambaye kwa sasa anakipiga kwa
 mkopo paris Saint German.Icardi
 anahusishwa na klabu za ligi kuu
 England na dili hilo litampatia pesa
 ndefu Wanda
   Mwaka jana,Wanda Nara
 aliripotiwa kuingiza mkwanja wa
 pauni 1 milioni na makusanyo
 yake yameongezeka na kufikisha
 pato hilo la pauni 5 milioni





   MALI NA MAKAZI


 mrembo wanda nara baada ya kuachana maxi lopez
 baba wa watoto wake watatu november 2013
 aliangukia kwenye penzi la shwahiba wa zamani
 aliye kuwa mume wake icardi wawili hao wamefunga ndoa
 na wana ishi kibosi kweli kweli.kutokana hilo kile
 anacho miliki icardi ndicho anacho miliki wanda.
 kutoka na hilo familia hiyo ina bonge, la jumba
 Agentine ukiweka kando makazi yao milan na sasa wakiwa.
  paris wana miliki pia magali kibao ya kifahari
   kwa nzia hummer ramborghini aventa dor.bentley.rolls royce
   nyingine kibao. icardi anayelipwa mshahara wa dola 4.1 milioni,
 jambo linalomfanya mrembo wanda kuwa na uhakika wa maisha na kufanya
  vurugu nyingi kwenye starehekwa sababu hata yeye mkwanja anao pia,
 ukiweka kando wa mumewe.







    FAMILIA

 wanda nara ni dada wa mrembo mwingine moto kwenye mitindo
  zaira nara kwenye ndoa yake na maxi lopez wanda alibahatika kupata,
 watoto watatu wa kiume constantino lopez nara na benedicto lopez nara.
 alipo kwenda kuolewa
  na icardi, kwenye ndoa hiyo amefanikiwa kupata watoto wawili wa kike
 francesca na isabella.mdogo wake zaira nara ambaye pia ni mwanamitindo
 na mtangazaji wa televisheni amekuwa
 mtu wa kupenda wanasoka, pia baada ya kuripotiwa kuwa kwenye uhusiano
 wa kipenzi na staa wa zamani wa manchester united diego forlan.



 imetorewa na kuandaliwa na lizombe  media


@lmedia
PopAds.net - The Best Popunder Adnetwork

Comments