Featured Post

je corona imefungua milango ya fursa kwa wafanya biashala wa viwanda?

Unadhani hiki kiwanda cha bia kilikuwepo kabla au kimeibuka baada ya kuzuka gonjwa hili baya LA Virus wabaya coved19 tafadha tuandikie hapo chini


Dalili za corona

1 kuumwa kichwa
2 Mafua makali
3 mwili kuchoka sana
4 kifua kubana sana
5 mwili kupandisha joto kwa kasi

Comments