Featured Post

KORONA YA ZUA UTATA MPYA DUNIANI SOMA ZAIDI


            wakati dunia inapambana na gonjwa baya la virus wabaya conona
           kume ibuka sinto fahamu katika jimbo moja marekani
           mwana mke mmoja mwenye asili ya afrika magharibi


                          soma zaidi⍗⤥

             alitoa maneno makali kwa raia mmoja wa marekani ya kibaguzi 
           wa rangi kwa kumwambia rangi yako mbaya ndo mana mnakufa
           sana na korona sisi kwetu africa mambo ni shwali tu maana
          kwa hali ya uchumi wetu wa africa tulitemea watu wengi wange
          kufa africa rakini mbaka sasa nyinyi ndo mnakufa sana
            aliendelea kwa kumwambia nyinyi mna kila kitu sisi hatuna
         kitu kabisa tena vingi tuna tegemea kutoka kwenu simu zenu computer
          zenu nk.

       hivyo mimi nakubagua wewe yani usnisogelee kabisa maana usije
       nipa ilo gonjwa bure mwisho aka mtusi kwa kumwambia
       saizi mtatengeneza vipodozi vya kuwa weusi.
        mwisho wa kunukuu
     
          je? wewe una munga mkono huyu dada basi tuandikie maoni chini⇩⇩⇩

Comments