Featured Post

Mrembo shetani simulizi ya kutisha

MREMBO SHETANI   01

 Simulizi Extra 

 Ni usiku wa manane Nurathi alijibamiza kwenye mpango wa chumba chake akielekea kwenye chumba cha mdogo wake wa kiume mwenye umri wa miaka kumi na miwili, alipokaribia chumba hicho aliita 

"fred fred fred", paliendelea kuwa kimya huenda fred alikuwa amelala fofofo..... Nurathi alibadilika sura, nywele zake fupi zikawa ndefu kama nywele za kizungu

,macho yakawa mekundu punde tu alianza kuunguluma kama bundi nakutoa sauti kali sana ndani humo.... Fred hakuwa amesinzia alikuwa macho kwani aliogofya kumfungulia dada yake maana alijua madhara yake....

.

.

.



Nurathi alielekea kwenye chumba cha house boy aliyekuwa mgeni kwani alifika mchana yake, wakati amelala alihisi mtu akibisha hodi bas alijinyanyua nakwenda kufungua, "haaaaa,Nurathi unataka nn uck huu?"  nataka kulala kwako, "mhhhh" Abdu aliingiwa na tamaa ya ngono pale alivyoona Nurathi amevalia night dress nyeupe iliyoonesha chupi yake ya pink, alianza kumtomasa pale pale mlangoni,Nurathi hakuhitaji mbwembwe alimchomoa msumari wa  abdu nakuutia kwake......

 Asubuhi ilikuwa habari ya kifo cha Abdu tena kitandani... Wazazi wa Nurathi walijua kilichotokea usiku.... Nini kilichomfika Nurathi?????
Binadamu yeyote anapofikia umri wa utu uzima huhitaji mtu wa karibu zaidi mbali na wazazi wake na humuita mwenza au mpenzi na baadae mume ama mke..Lengo la kumtafuta mwandani ni kutaka kuanzisha familia na kuishi kwa furaha na amani kama baba,mama na watoto..Familia hudumu endapo kutakuwepo watotot je bila watoto ndoa hudumu?  

.


Nurathi ni binti mzuri wa miaka kama 18-19 maisha yake yanakuwa yatofauti na binadamu yeyote kwani ana uazimu kupita kiasi,mashetani yake yakipanda huwa anahitaji kufanya mapenzi na endapo hatafanikiwa kitu pekee kitachompoza na kumtuliza ni damu ya binadamu  jinsia ya kiume pale tu unaposhiriki tendo nae......

.
.

.
 Sehemu ya pili itakuweka wazi kuhusu Nurathi   Usikose mkasa huu

  Simulizi

Comments

Post a Comment