Featured Post

Short story tima ndani ya lizombe media


Short story. TIMA
Mtunz. Dorice ndaga

Page 01
"Nikiwa nimejilaza mala nikasikia ujumbe umeingia kwenye sm nikaangalia namba nikaona ngen . Ujumbe ulisomeka ivi usikumwema mrembo.
Nikaupuuzia nikalala zangu.

Asubh tena wakati nakunywa chai nimekaazangu mezan .mala tena ujumbe ukaingia kwenye sm nikaufungua namba ilikuwa ni ile ile ya jana

Alikuwa katuma ujumbe unaosomeka ivi umeamkaje mamy .nikapuuza tena skujibu.

Zoezi ilo lilikuwa endelevu asubh ,mchan jion ,na usku lazma atume msg lakn hata moja nilikuwa sijibu ila skumoja akatuma message
"nikutumie vocha ili tuweze kuchat whatsapp ?😁😁😁

"Duh bilakuchelewesha nikajibu yeah fanya ivo maana sina salio .

Yule mtu hakujibu chochote baada ya muda message ikaingia haraka nikaifungua nikaona imethibitishwa umepokea elf hamsin

"Duh so sili nilifurai nikatuma txt ooooh thankx my dear nimeiona .
Kisha nikatulia tuli .akanipigia nikapokea tukaanza kuonge
Sauti upandewapili ilisikika ikisema

"mambo mrembo?

"pw

"mzma weye ?

"yaa nko pw t .

"ok nafurai kusikia ivo .me naitwa Musa ni mkenya apa naishi apa apa mtaani kwenu .

"nikajibu oooh !ok

"naishi apa nyumba ya mbele ya mwanaefei .niko mwenyewe tu apa kalibu .

"jaman asante ntakalibia kumbe apo kwenye nyumba nzuri .

"akajibu ndio ,unajua kilasku huwa napita apo kwenu nagar huwa nakuona .
"😂😂😂Duh yakwel ayojaman musa saa mbona huwa usimamishi gari unisalimie jaman so vzri hendsom boy

"huwa naogopa jaman 🤔🤔

"waogopa nini jaman my dear ?
"wazaz wako nani navo kuona unaonekana kabsa wageti kali maana huwa hutoki nje ovyo ovyo

"jaman hofu yako tu

"kwel ?
"ndio
""mhh bas fanya ivi toka saiz apa nje mi nakuja apo tuonane saiz

"Nikasema duh saiz saa3 usk ? (Kimoyo moyo nikasema subutunitoke saiz ili nipigwe na baba )
"akasema ndio mrembo naham yakukuona tu bas saiz ,yan nikikuona roho yangu itatulia .

" nikasema oooh duh nikashusha pumziii ushuuuuuuu, nikaongea kasauti kakudeka deka jomon mwenzio nasoma tutaonana kesho

"akajibu jaman toka bas mi nishafika ayo madafutali utayasoma ukiludi nipe dakika tu nikikuona roho ita tulia mrembo au we hupendi kuniona 😂😂😂

"nikajibu jaman napenda sana ilaaaa!

"Ila nini baby

"nipo naaaahhh nikauma uma maneno

"akauliza upo na nan baby ?

"nipo na dada naogopa kesho bhana .

"akasema sio vizuri ivo mrembo unavo fanya sopoa acha kunibania nipo apa nje yageti nakusubil balidi inanipiga kwel

"nikatoa tu macho nikataman nikate sm ila roho ikakataa .nikaa kaa kimya bila kujibu

Akaita Tima mamaaa

Nikakaa kimya
Akaita tena Timaa

"nikaitika kisha nikasema ok nakuja .nikakata sm . Kisha nikanyanyuka nikatoka nje nilipo fika getini nikafungua ile kufungua Mlango nikaangalia mbele ivi maraghafra nikaonagari linakuja kama la baba kamoyo kalidunda puuuu ????

Itaendelea usikose badae .kama unapenda simuliZ zangu ni add ili uweze kusoma simuli kila sku

Comments