Featured Post

Si nili yataka mwenye sehemu ya kwanza 1

SI NILIYATAKA MWENYEWE 1
Lizombe media
WhatsApp 0712306943

Nikiwa nimelala ndani nilisikia vitu juu ya bati vinakimbizana kisha vilitulia kwa dkika kadhaa nikasikia sauti ya mschana ikipiga kelele sana nayo ikatulia kidgo kisha nikasikia vitu vinakoroma chini ya uvungu wa kitanda changu yaani muda wote huo sikuweza kufumba macho hata kwa dakika moja tu, josho jembamba lilinitoka na wakat mambo hayo yote yakiwa yanaendelea mm nilikuwa juu ya kitatanda nimejifunika shuka mwil mzma nikiwa natetemeka sanaa.
Nilikuwa naomba pakuche tu

Asubuh ilivyofika nikajiandaa na nikawasha gari langu safari ilikuwa mojakwamoja kuelekea kwa mganga. Ilikuwa ni safar ndefu sana kama masaa 7 ili kufka kwenye msitu mkubwa ambapo kulikuwa na mtaalamu wangu.nilipanda na kushuka mbaka nikafika kwa mtaalamu.
" jana sijalala kabisa, vitu vya ajabajabu tu nilikuwa na visikia, naomba unibadirishie dawa lasvyo tuachane nayoo haya mambo." Nilimuambia mgango huku nikiwa na jazba

Lakn mganga alikuwa akicheka huku akivitikisa vile vibuyu vyake. Kisha akanikazia macho nakuniambia nijikaze na nikianza kazi na mizimu nilazma nimalizane nayo.
Alitikisa vile vibuyu nakujiongelesha kiruga kisha akanipatia dawa nyingne nikaweke chin ya mto na alinihakikishiakuwa sitaona kitu chochote usiku.
Niliondoka ingawa nilikuwa na wasiwasi

Ilipo timia usiku nilioga, nikaweka dawa chin ya mto kisha nikalala lakn kulikuwa kimya kwa dakika 30 tu kisha vibwenga vikaanza tena. Na safar hii nilisikia misauti ya ajabu mara watoto wachanga, mara mbwa mwitu na wakat mwengne nilisikia had sauti ya mvua kubwa ya mawe. Ilikuwa ni patashka nguo kuchanika.
Usiku ulipita hvyohvyo kibishi tu

Ilipofika asubuh nilikuwa na hasira sana na yule mganga, niliitazama ile dawa niliyoiweka chn ya mto lakn sikuiona kabis niliitafuta sana lakn sikuiona kabisaaa. Nikajisemea moyoni " yaan huyu mganga kanitafutia matatzo yaan nikimfuata leo ndo atajua mm ni nani yaan kama chochote anigeuze mimi siogopi.
Nikajiandaa taratbu kisha nikawasha gari kuelekea kwa mganga nikiwa nimepanga nikamfanyie vurugu.

Nn kitaendelea kwamganga!? mapokez yakiwa mazuri nitasonganayo

Comments