Featured Post

simulizi za mapenzi(smslove)

DAAH KUMBE NI NDUGU"

"SEHEMU YA lizombe media

*"Shangazi huyu kijana anaonekana msitalabu  Anaitwa nani.SONGA MBELE.....
* Peni, huyo anaitwa joshua ni mpangaji ndugu wa hapa nyumbani.
Mama maua. Akamjibu yule msichana mgeni aliyemuita kwa jina la Peni.
* Mh Shangazi hapo sijakuelewa kidogo umeniambia ni mpangaji ndugu kivipi.
* Nina manisha kwamba alikuwa mpagaji wetu zamani lakini sasa hivi tunaishi nae kama ndugu,
*Aah hapo nimekuelewa peni.
akasema hivyo. Wakaendelea na story zao.
"Kwa upande wangu Nilipoingia ndani nikaanza kuchungulia dirishana kumtazama tena yule demu.
" ametokea wapi tena mrembo huyu.
 Nikajiuliza huku bado namtazama nilimuona anacheka na kufurahi pale alipokuwa anaongea na mama maua.
* joshua unafanya nini hapo dilishani.
Sauti ya maua nikamsikia anakiniuliza hivyo. Nilishtuka lakini sikutaka kuonyesha mshituko wangu. Nikajifanya kulifunga dilisha kisha nikageuka na kumjibu.
* Nilikuwa nafungu hili dilisha maana linajibamiza bamiza tu.
* mh aya chakula kipo mezani tumekuwekea
 sisi tumesha kula mda kidogo.
* Sawa ila naenda kuoga kwanza maana huko kazini kulikuwa na watu wengi nimeshindwa kabisa kuoga.
* Haya Nenda ukaoge mpenzi.
Maua alipokuwa ananiambia hivo.
Kumbe baba yake nae alikuwa anatoka chumbani lile neno mpenzi akalisikia.
* alikuja akatutazama mimi na maua.
harafu akanisalimia mimi kisha akaondoka Zake.
* mh joshua umemuona Baba alivyo tutazama hadi nimepata wasiwasi.
* Hata mimi ninahisi amesikia ulivyo niambia.
Wacha niende kuoga. Mimi na maua tukatawanyika kila mtu akafata mambo yake.
Nilikwenda moja kwa moja chooni Nikaingia na kuoanza kuoga. Baada ya dakika kadhaa nikamaliza kisha nikatoka nikiwa kifua wazi Nilipofika ukumbini tu nikakutana na yule msichana mgeni.
Nikamuona jinsi anavyo kitazama kifua changu kipana.
 * vipi mbona unanitazama sana umeona kitugani kimeganda kifuani kwangu nikiondoe.
"Nikamuuliza hivyo.
* mh hapana mimi sikutazami.
 Peni akajibu hivyo""harafu akabarakisha kuondoka"
Niligeuka nikamtazama nyuma Nikaona mbuga imejaa wanyama inavutia watalii yani alikuwa makalio makubwa yaliyo mpeneza.
"Daah mtoto mzuri sana huyu.
"Nikajiambia kisha nikatokomea zangu chumbani.

* Unajua Zoi Sukuelewi kabisa siku hizi yani umekuwa mvivu  kila wakati wewe unalala tu unachagua chakura wakati mwanzo haukuwa hivyo. Hebu niambie unamatatizo gani.
Mama maua akamuuliza Zoi.
* Wifi mimi niko sawa tu wala usijari
"Lakini natamani kurudi nyumbani nimechoka kukaa hapa.
"Zoi akajibu hivyo.
* Aaah kumbe umemissi nyumbani  Sasa si ungelituambia tu.
kuliko kutufanyia vituko hapa ndani.
* Wifi nilikua nahofia mtanikataza.
* ok Subiri Kaka yako akirudi nitakuja kumwambia kama atakubari kesho kutwa utaondoka maana unatakiwa upate siku moja ya kujiandaah.
* Sawa Wifi nitafurahi ukifanya hivyo nimemsi sana mama yangu" Zoi akajibu.
"Maua alitoka chumbani kwa Zoi. Akaenda kuendelea na majukumu yake mengine.
"Hili jambo ni kubwa mimi na maua hatuliwezi Bora nirudi nyumbani nikamwambie.
Mama kwamba. Kaka Juma. anawatoto mapacha.
Zoi akajiambia hivyo.
ilikuwa imeshapita wiki moja tangu Peni.
Aje hapo nyumbani.
 Siku nilienda kwenye Shelehe Nikarudi saa Sita  usiku ufunguo wa Getini nilikuwa nao nilifungua nikaingia. Kisha nikaenda mpaka
Dilishani kwa Peni. Nikaanza kumuita
* Peni njoo unifungulie mlango.
* Wewe nani.
Peni akaniuliza
* Mimi joshua.
*Mh usiku wote huu ulikuwa wapi.
*Njoo kwanza unifungulie nitakuambia.
* Mimi huwa situmwi bure utanipa nini nikukufungulia,
 Peni. Akaniuliza hivyo. Nikafikiria kidogo kisha nikamuuliza ?
* kwani wewe unataka nini..
* mh joshua jaman nikikuambia utakubali
Peni akaniuliza hivo.
* ndiyo?
* mh Sasa joshua nataka hivi..
Peni. alianza kuongea huku anajiuma uma ulimi.

Love*

Comments