Featured Post

LEO nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. Nikamuuliza

LEO nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. Nikamuuliza "eti dada unavijua VISA vya wanawake?" Akajibu "kaka niache."

Nikakomaa anijibu… Badala ya kujibu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja.

Dada huyo alivyoona wanakuja akajimwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu, nikajuta sana kutaka kujua kila kitu. 

Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamwuliza, "kuna nini?" Akawajibu, "nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amenisaidia!!"

Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka.

Yule dada akaniambia, "hivyo ndivyo visa vya mwanamke. Anaweza kukuua au kukulinda! So mheshimu mwanamke hata kinafiki, usijifanye jeuri!!!.."

Nikaondoka na funzo langu…… SHIKAMOO WANAWAKE! 

https://www.youtube.com/channel/UCrxn4KegN28lwWcIVAzmY0g 

Naombeni Jamnii Pita Kwenye Hii Channel Yangu Japo Dakika Moja Subscribe Utakuwa Umenipa Nguvu Sana 

Kujiunga na group la WhatsApp MAISHA NA MAHUSIANO
Gharama yake ni 1000 tu
Njoo tujifunze mapenzi, maisha n.k 
Nicheki WhatsApp 0763817822 

Share

Comments