Posted by lmediaonline on August 06, 2020 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps LEO nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. Nikamuuliza "eti dada unavijua VISA vya wanawake?" Akajibu "kaka niache."Nikakomaa anijibu… Badala ya kujibu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja.Dada huyo alivyoona wanakuja akajimwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu, nikajuta sana kutaka kujua kila kitu. Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamwuliza, "kuna nini?" Akawajibu, "nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amenisaidia!!"Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka.Yule dada akaniambia, "hivyo ndivyo visa vya mwanamke. Anaweza kukuua au kukulinda! So mheshimu mwanamke hata kinafiki, usijifanye jeuri!!!.."Nikaondoka na funzo langu…… SHIKAMOO WANAWAKE! https://www.youtube.com/channel/UCrxn4KegN28lwWcIVAzmY0g Naombeni Jamnii Pita Kwenye Hii Channel Yangu Japo Dakika Moja Subscribe Utakuwa Umenipa Nguvu Sana Kujiunga na group la WhatsApp MAISHA NA MAHUSIANOGharama yake ni 1000 tuNjoo tujifunze mapenzi, maisha n.k Nicheki WhatsApp 0763817822 Share Comments
Comments
Post a Comment