Featured Post

Nyota pekee wa Afrika aliyeweka rekodi kutwaa tuzo ya Ballon d'Or ,George Opong Weah nyota wa zamani wa vilabu vya PSG, AC Milan ,Chelsea na Manchester City na Rais wa zamani wa Taifa la Liberia yupo kushuhudia usiku wa Tuzo za Ballon D'Or. #ManaraTvUpdate #ManaraTv

Comments