Featured Post

HATAKAMA UNGEKUWA WEWE UNGEWEZA KUVUMILIA???



Ni studio moja ndani ya mkoa wa morogoro Tanzania hapa ndipo kilipo kisa hiki Cha kusisimua 


Story ilikuwa hivi ilikuwa juma pili moja majira ya usiku wa manane si unajua wasanii wengi wakubwa hupenda ku record nyimbo zao usiku Sana kwa kuwa mida hiyo majira huwa yametulia Sana basi kazi za studio zilikuwa zinaenda vizuri kumbuka hapa anae fanya kazi Ni staa mkubwa Sana wa mziki Tanzania mwenye jina kubwa na wafuasi wengi kwenye digital platform zote unazozijua wewe kiufupi hapa mwandaaji wa muziki kwake Ni dili kubwa Sana yani nyimbo ikitoka kwake na ikawa Kali basi hapo katoboa kabisa Kama unavyo jua studio huwa Kuna kampani mbalimbali na maanisha pisi Kali mida ikawa inasogea usiku ukawa mzito kabisa kiufupi studio kulikuwa shwali vinywaji baridi vyenye vileo na vile visivyo na vileo pombe bwana huwa haitanii Kuna pisi moja ikawa inacheza kile kionjo Cha nyimbo ambacho tayari kilifanikiwa kumalizika huku wakiendelea kuandika mistari Kama unavyo jua nyimbo zenye mchanga nyiko wa biti huwa zinakuwa Zina  vyb Sana kwa kuwa kile kionjo kilikuwa kitamu sana pisi zikawa zinakata nyonga vibaya Sana huku ziki chukua video fupi wakasumbue huko wanako shindaga katika zile pisi Kuna moja ilikuwa imejazia vibaya sehemu za nyuma (makalio) ikiwa inacheza na kumkatikia viuno laini msanii wetu kumbuka msanii nae mpenda mizigo kweli kweli ... Itaendelea sehemu ya pili 

Dondosha comment yako huyu msanii atakuwa Nani Kisha mtag hapo chini.

Comments