Featured Post

"Nilikuwa na marafiki wa kiume 20 walionisaidia mahitaji mbalimbali ya msingi lakini bado nilijitunza usichana wangu na baadaye nikaja kuolewa nikiwa bado bik1ra" - amesema Regina Daniels(24), mwigizaji wa Nigeria aliyeanza kuwa maarufu akiwa bado mdogo

Dawnload
"Nilikuwa na marafiki wa kiume 20 walionisaidia mahitaji mbalimbali ya msingi lakini bado nilijitunza usichana wangu na baadaye nikaja kuolewa nikiwa bado bik1ra" - amesema Regina Daniels(24), mwigizaji wa Nigeria aliyeanza kuwa maarufu akiwa bado mdogo Aidha, Regina amewaasa vijana wasikimbilie ng0no kabla ya ndoa, pia amewakumbusha wasichana kwamba kusaidiwa kitu na mwanaume haimaanishi umpe mwili wako auchezee Kabla ya maelezo hayo ya sasa ya Mrembo huyo, Mwezi March mwaka huu mume wake huyo pichani kwa jina la Ned Nwoko(63) ambaye ni bilionea mfanyabiashara pia mwanasiasa mwenye cheo cha ubunge , katika mahojiano alikaririwa akisema walipofunga ndoa na Regina alimkuta bado ni bik1ra na pia huwa haoi mwaanamke ambaye sio bik1ra. alivutiwa na mrembo huyo sababu wote walitoka mji mmoja na pia alipomuona Regina alikuwa na vigezo vingi vya kuwa mke wake kuliko wanawake wengine aliochaguliwa na wanafamilia yake Regina ambaye ametimiza miaka 24, aliolewa akiwa na miaka 19 na tayari yeye na mumewe huyo wamejaaliwa kupata watoto wawili Licha ya kuolewa na bilionea Regina bado anaendelea na kazi zake za uigizaji wa filamu kwa maelezo kuwa kufanya kazi ni muhimu haijalishi ameolewa na nani Bilionea huyo ameoa wake 6 na wote bado anaishi nao hadi sasa kila mmoja akiwa katika nyumba yake, ana watoto wengi kutoka kwa wake zake ambapo Regina ndie mke wa 6 Follow page yetu nyingine Swahili World Mix

Comments