Featured Post

Tanzania imepoteza mmoja kati ya waigizaji bora kuwahi kutokea.. Namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya maisha yako..nitamiss ucheshi wako..uigizaji wako mahiri lakini kubwa sauti yako..pumzika kwa amani rafiki yangu.. pumzika Grace Mapunda..ilikuwa ni heshima kwangu na bahati kupata nafasi ya kuigiza nawe..

ameandika jb "Inaniwia vigumu kuandika marefu macho yangu yanazibwa na machozi, GRACE TUNAITANA KUPELA /ZUNGU LANGU ULICHONIFANYA GIRE SINA LA KUSEMA😭😭" - ameandika Hidaya ambaye pia ni mwigizaji maarufu

Comments